iqna

IQNA

Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu /15
TEHRAN (IQNA) – Maurice Bucaille alikuwa tabibu Mfaransa aliyesoma Qur'ani Tukufu na vitabu vingine vya Mwenyezi Mungu na akaamini kwamba kuna uhusiano kati ya sayansi na dini. Vile vile alirejea kwenye miujiza ya kisayansi ya Qur'ani Tukufu ambapo alisisitiza kuhusu asili ya kitabu hicho kitakatifu.
Habari ID: 3476354    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/04